Saturday, September 14, 2013

NIMEGUNDUA MUME WANGU NA MIMI NI NDUGU WA DAMU KABISA



Admin Hide my Name ....Mimi na mume wangu tumefunga harusi siku si nyingi , hapa tulipo tumechanganyikiwa as tumegundua sisi ni ndugu .....Story nzima ipo hivi ..mimi nimelelewa na mama angu tu baba angu alinikataa nikiwa mdogo na akahama nchi kwenda kuishi Marekani ...so mimi na mama hatukuwa na mawasiliano naye kabisa mpaka naolewa hata baba hakuusika katika shughuli...Basi juzi kati amerudi Tanzania na akakutana na mama angu na mama akamwambia nishaolewa ...so akataka kuja kunisalimia mimi na mume wangu ...alivyofika tu nyumbani kwetu mume wangu 

Tags:

0 Responses to “NIMEGUNDUA MUME WANGU NA MIMI NI NDUGU WA DAMU KABISA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI