Saturday, September 14, 2013

WANAWAKE KUMBUKENI NA "IKULU" ZENU


Kujiremba jirembeni na uzuri kuweni nao. Mashauzi tuleteeni na kutusumbua ongezeni. Saluni msikose na wa natural wasiishe. Vaeni vizuri na mtembee/muongee kwa maringo.Lakini msizisahau ikulu zenu. Wengi wenu huzisahau sana sehemu zao.

Inafikia wakati zinatoa harufu kama kafa panya au umezibua choo. Uzuri wa mwanamke ni k yake. Si vinginevyo mabinti nyinyi. Ziosheni ikulu zenu mara kwa mara hasa mnapokwenda haja au kufanya mapenzi.Msiingize chochote huko zaidi ya Abdala kichwawazi. Kinyume chake ni majanga.Na mtaachwa hadi mbadilike. 

Nimewaacha watatu kwa sababu hiyo.Siwezi kukaa na mchafu tena wa sehemu muhimu kwake na kwangu. Afadhali leo nimewaambieni nami nitapata utulivu moyoni mwangu. Ujumbe huu ni kwa wanawake wote

Source:JF

Tags:

0 Responses to “WANAWAKE KUMBUKENI NA "IKULU" ZENU”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI