Tuesday, November 19, 2013

ADEN RAGE ASIMAMISHWA NA KAMATI YA UTENDAJI YA SIMBA




Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iliyokutana jana usiku, imemsimamisha kazi Mwenyekiti Ismail Aden Rage.
Rage amesimamishwa kazi kutokana na masuala kadhaa ya kiutendaji , lakini kubwa imeelezwa ni suala la mauzo ya mchezaji Emmanuel Okwi.

Tags:

0 Responses to “ADEN RAGE ASIMAMISHWA NA KAMATI YA UTENDAJI YA SIMBA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI