Tuesday, November 19, 2013

MAKOCHA WA SIMBA ABDALLAH KIBADENI NA MSAIDIZI WAKE JAMHURI KIHWELU WATIMULIWA




Kocha mkuu wa Simba Abdala Kibadeni pamoja na Msaidizi wake Julio Wametimuliwa kazi katika timu ya Simba kwa Kile kinachosemekana ni utendaji wa kazi Mbovu...Simba inatarajia kumleta kocha mpya Mzungu Anaitwa Bobby Williamson...Ambaye alikuwa kocha wa Gori Mahia ya kenya..

Tags:

0 Responses to “MAKOCHA WA SIMBA ABDALLAH KIBADENI NA MSAIDIZI WAKE JAMHURI KIHWELU WATIMULIWA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI