Thursday, April 4, 2013

RAMBIRAMBI KUTOKA KAMPUNI YA CHICO KUTOKANA NA AJALI YA KUANGUKA KWA JENGO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda leo amepokea shilingi milioni kumi kwa ajili ya rambirambi kutokana na ajali ya kuanguka kwa jengo la gorofa 16 jijini dar es salaam tarehe 29march 2013 na kusababisha maafa pichani ni Assistant President Chief Representative Tanzania kutoka kampuni ya China Henan International Cooperatin Group Co. Ltd Mr Guo Zhijian akimkabidhi waziri Mkuu hundi ya shilingi milioni kumi kama rambirambi ya kampuni hiyo makabidhiano hayo yamefanyika ofisni kwa waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam Picha na Chris Mfinanga


Tags:

0 Responses to “RAMBIRAMBI KUTOKA KAMPUNI YA CHICO KUTOKANA NA AJALI YA KUANGUKA KWA JENGO JIJINI DAR ES SALAAM ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI