Tuesday, May 7, 2013
Naombeni ushaur wenu.Mm n msichana wa miaka20
Tuesday, May 7, 2013 by Unknown
Naombeni ushaur
wenu.Mm n msichana
wa miaka20 nnasoma
nje ya nchi nna mpenz
wangu tuna miaka
miwili sasa tuko
pamoja.Ananihud umia
kwa mahtaj yangu na
baadh ya v2 chuon.Kwa
bahat mbaya
nimetokea kumpenda
kijana mwingine
kwenye
facebook.Nataman
kuachana na
mpenz.wangu ila naona
huruna koz
ananihudimia na
amensaidia
meng.Nataman kuwa
na huyo kijana ila
naogopa akiwa na tabia
za ajabu au akinisaliti.
Kijana nampenda na
mpenz wangu
namuonea huruma,
naomba ushaur
nifanyaje?
Jema
Tags:
mapenzi

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “Naombeni ushaur wenu.Mm n msichana wa miaka20”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.