Sunday, June 30, 2013

EX GIRLFRIEND WANGU ANAHISI TUMERUDIANA



Niliachana nae kitambo kidogo ila sikuhizi simuelewi kwani akipiga simu au akituma sms naona mahaba mengi.Imedumu kwa wiki 3 sasa....nikiwa kazini anapga simu...usiku kabla ya kulala lazime apige...huwa simpi ushirikiano 100% coz sina mpango nae ila yeye ha-notice hilo...juzi nikiwa kazini aliniambia anataka aje nyumban kesho yake ambayo ni ijumaa nikamwambia nitakuwa kazini.....akaniuliza kama nampenda nikamjibu kuwa sikuwahi kumchukia ila akasema nijbu NDIO AU HAPANA....ikabidi nimjibu ndio...sipo kwenye uhusiano wowote kwa sasa ila ctaki kuwa nae na KUMWAMBIA STOP NDIO NASHINDWA....kaniambia nimuelekeze nilipohamia ili leo aje.....hofu yangu ni kwamba cna girlfrnd kwasasa so anaweza akani-seduce nikasex nae halaf nikajuta.....NAOMBENI USHAURI NINI CHA KUFANYA KABLA SIJAMUELEKEZA KWANGU.

Source:Jamii forums

Tags: ,

0 Responses to “EX GIRLFRIEND WANGU ANAHISI TUMERUDIANA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI