Wednesday, March 20, 2013

Breaking News:Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare ameachiwa kwa dhamana


credit- ITV

#Breaking News:Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na jeshi la polisi kwa siku 6 kwa tuhuma za uchochezi lakini akakamatwa tena muda huo huo kwa tuhuma za ugaidi na kutakiwa kupelekwa ngazi ya juu ya Mahakama kwa kuwa mahakama ya Kisutu haina mamlaka ya kusikiliza kesi ya ugaidi

Tags:

0 Responses to “Breaking News:Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa CHADEMA Wilfred Lwakatare ameachiwa kwa dhamana”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI