Tuesday, March 19, 2013

J. ONE ADONDOSHA WIMBO MPYA






Huyu ndiye J One, Msanii katika mahadhi ya Bongo Flava kutoka katika mji wa madini Kahama. Anatambulisha Ngoma yake mpya ikiambatana na Video akimshirikisha Msanii wa Mwanza Baraka Prince, Ngoma Inakwenda kwa jina la Kisharo sharo.

Unaweza kuipata video ya J One ft Baraka Prince- Kisharo Sharo kupitia:http://www.youtube.com/watch?v=M2d-ztc6Pxo

Tags:

0 Responses to “J. ONE ADONDOSHA WIMBO MPYA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI