Tuesday, March 19, 2013

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga Akutana na Waandishi Wa Habari na Kuzungumzia Maadalizi Ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia nchi kwa Njia ya Asili




Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia nchi kwa Njia ya Asili Mkutano huo Umefanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisini Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam, Kulia Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia nchi kwa Njia ya Asili kwenye ukumbi wa Mkutano Ofisini Mtaa wa Luthuli Mjijini Dar es Salaam, Kulia Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Sazi Salula kushoto Mkurugenzi Msaidizi Mazingira Bw Richard Muyungi.Picha na Ali Meja

Tags:

0 Responses to “Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Charles Kitwanga Akutana na Waandishi Wa Habari na Kuzungumzia Maadalizi Ya Mkutano wa Kimataifa wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabia nchi kwa Njia ya Asili ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI