Home
» kitaifa
» BREAKING NEWS: MFANYA BIASHARA WA KIHINDI AUAWA NA KUPORWA MIL 100, SALENDER BRIDGE
Monday, April 8, 2013
BREAKING NEWS: MFANYA BIASHARA WA KIHINDI AUAWA NA KUPORWA MIL 100, SALENDER BRIDGE
Monday, April 8, 2013 by Unknown

Kwa mujibu wa walioshuhudia sakata hilo, wanasema mtoto wa kike wa marehemu pia alipigwa risasi ya paja, lakini akafanikiwa kuendesha gari lao huku akiwa na mwili wa marehemu babake hadi Hospitali ya Regency...
Hivi sasa msichana huyo shupavu, anaendelea na matibabu katika hospitali hiyo...
Habari zaidi tutaendelea kuwaletea kadri tutakavyokuwa tunazipata..
credit bongo clan
Tags:
kitaifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BREAKING NEWS: MFANYA BIASHARA WA KIHINDI AUAWA NA KUPORWA MIL 100, SALENDER BRIDGE”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.