Sunday, April 7, 2013

KAMPUNI YA NDEGE YA FASTJET YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHAKUWAMA




Wafanyakazi wa Kampuni ya ndege ya fastjet wakiwa na vifaa mbalimbali msaada wa wa kibinadamu ikiwa ni pamoja na vitabu vya shule, vinywaji na vyakula vilivyotolewa katika kituo cha watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza Mori Kinondoni jijini Dar es salaam wakati wa pasaka, vifaa hivyo vilipokelewa na Hassan Khamis katikati Katibu wa CHAKUWAMA(aliyevaa shati la bluu)

Tags: ,

0 Responses to “ KAMPUNI YA NDEGE YA FASTJET YATOA MSAADA KWA KITUO CHA WATOTO YATIMA CHAKUWAMA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI