Sunday, May 12, 2013

CHEKI PICHA ZA YALIYOJILI BONANZA LA TASWA NA BONGO MOVIE, WOLPER AJIPIGA MAKE-UP HADI MCHEZONI, SOMA HAPA

Msanii wa filamu Tanzania Jacqueline Wolper akiwa amefika katika uwanja wa TTC Chango'mbe teyari kwa kujianda na mechi iliyochezwa kati ya timu ya netboll ya Bongo movi na timu ya waandishi wa habari za michezo Tanzania (TASWA) jana ambapo timu ya bongo movi iliweza kufungwa magori 33 kwa 10





Wachezaji wa timu ya bongo movi wakipewa mawaidha na kocha wao baada ya kumaliza kipindi cha kwanza

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Tags:

0 Responses to “CHEKI PICHA ZA YALIYOJILI BONANZA LA TASWA NA BONGO MOVIE, WOLPER AJIPIGA MAKE-UP HADI MCHEZONI, SOMA HAPA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI