Sunday, May 12, 2013

KERO :Geti la Stand ya Basi Ubungo Linatuzalilisha

Amini usiamini, matofali unayoyaona ni kama support ya geti la kutokea magari stendi ya daladala Ubungo, kila gari hutozwa kati ya shs 500-1000 kutegemeana na ukubwa lakini hali ya geti ndiyo hiyo............HII NI KWA TZ TU.......Ukichukulia ndio Stand Kubwa ya Mabasi Kuliko zote Tanzania....Na watu mbali mbali ufikia hapa wengine kutoka Nje ya Nchi........

Tags:

0 Responses to “KERO :Geti la Stand ya Basi Ubungo Linatuzalilisha ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI