Saturday, May 11, 2013

Nahisi galfriend wangu ana miaka 50




Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu;


" Nilikutana na huyu mdada kwenye mtandao wa kijamii. She is beautiful, descent and independent. Katika mazungumzo yetu ya awali she told me she is 36 and she is cool with our age different. 


Tangu tumeanza kudate huu ni mwezi wa saba sasa. Kitu kimoja kinacho ni shangaza, hata siku moja hajawahi kuniambia yupo kwenye siku zake, kila mara ninapo muhitaji kwa ajili ya mambo yetu yale anakuwa available. Mwezi uliopita niliamua kufanya uchunguzi wangu ambapo niligegedadana kwa siku zote thelathini na moja a katika siku zote hizo she was okay ( i mean hakuwa kwenye siku zake ).


Kitu kingine huyu mdada ana mtoto wake wa kike, anasoma kidato cha nne. Huyu mdada anasema, she was born in 1997 but mtoto nikimuuliza anasema she was born in 1994. 


Personally ninahisi hata hiyo age ya miaka 36 atakuwa alinidanganya tu ili nisimuone mzee. Kitendo cha yeye kutokuwa kwenye siku zake hata siku moja coz kwa jinsi ninavyo jua mimi, mwanamke anaanza kutokuziona siku zake baada ya kufikisha miaka 45. 


So nahisi huyu mwanamke atakuwa na miaka zaidi ya 45, nifanye nini?" MWISHO WA KUNUKUU.









CREDIT- JF.

Tags:

0 Responses to “Nahisi galfriend wangu ana miaka 50”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI