Tuesday, June 25, 2013
BALAA : BINTI AANIKA NYETI ZAKE WAKATI AKICHEZA POL TABLE.
Tuesday, June 25, 2013 by Unknown

Ilikuwa mitaa ya mtoni mtongani kwa azizi ally ambapo Binti mmoja alinaswa na kamera mani wetu akiwa uchi wakati akicheza pool table .binti huyo ambaye ni maarafu kwenye mchezo huo alikuwa amevaa nguo fupi(kimini) .
Siku hiyo ilipangwa mechi kali kati ya kijana mmoja na binti huyo. wakati binti huyo akicheza pool table bila wasiwasi alizua balaa baada ya vijana hao kugundua kwamba hajavaa nguo ya ndani.
vijana walianza kumzomea na kumghasi, hatimaye hakumaliza mchezo huo . Binti huyo aliondoka na kwenda mtaani kuchukua wavuta bangi, walikuja kufanya fujo.
Walifanya fujo lakini kilichotokea ni hiki! binti alivuliwa nguo na kuachwa uchi wa mnyama . vitendo kama hivi vinalaaniwa na vinapotosha jamii yetu , vijana tunapaswa kuwa makini na mavazi tunayovaa ,
Tags:
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BALAA : BINTI AANIKA NYETI ZAKE WAKATI AKICHEZA POL TABLE.”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.