Home
» kitaifa
» HATIMAYE JESHI LA POLIS WAMJIBU JOYCE KIRIA KUHUSU MADAI YAKE KWAMBA WAMWAMBIE ALIPO MUME WAKE
Monday, June 24, 2013
HATIMAYE JESHI LA POLIS WAMJIBU JOYCE KIRIA KUHUSU MADAI YAKE KWAMBA WAMWAMBIE ALIPO MUME WAKE
Monday, June 24, 2013 by Unknown

Inasikitisha kuona kwamba huyu mama Joyce Kiria anaingilia mambo ya kisheria na kutaka kupotosha jamii kwamba hajui mume wake yuko wapi pia nadhani analenga kuichochea jamii kwamba aliyetuhumiwa kutenda uhalifu akikamatwa familia yake iandamane, tendo ambalo pia ni kosa la jinai. Aidha anatakiwa kuheshimu haki za watoto na kuacha kuwatumia katika kinga ya kutetea watu wanaotenda uhalifu (Imetolewa na Advera Senso Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Tanzania)

credit thechoice
Tags:
celebrities ,
kitaifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “HATIMAYE JESHI LA POLIS WAMJIBU JOYCE KIRIA KUHUSU MADAI YAKE KWAMBA WAMWAMBIE ALIPO MUME WAKE”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.