Saturday, June 22, 2013

Huddah Monroe Kutua Bongo-Uso Kwa Uso Na Diva Loveness



Aliyekua mmoja wa wawakilishi wa Kenya katika BBA The Chase, mrembo Huddah Monroe (The Boss Lady) anatua Dar es Salaam, Tanzania ku-host party ya “Mid Year Bash” siku ya jumamosi tarehe 29/june/2013. BASH hilo litafanyika ndani ya ELEMENTS LOUNGE, na limedhaminiwa na Unity Entertainmen, Heinneken, na Vocacom.....Watu wengi wanajiuliza itakuwaje pale watakapo kutana na Diva loveness ambae wamekuwa na beef kwenye mitandao wakimgombea Prezzooo...Aka the boy is MineTOA MAONI YAKO HAPA

Tags: ,

0 Responses to “Huddah Monroe Kutua Bongo-Uso Kwa Uso Na Diva Loveness ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI