Tuesday, June 18, 2013

Huyu ndio mtanzania aliyefariki baada ya madawa ya kulevya kumpasukia tumboni akielekea Italy




Ilikuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mauti
yakamkuta huko kweli drugs noumaaa
Jamani jamani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Nigerians wanaoishi Uk kupeleka sembe Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake na kupelekea umati wake (vitu vimepasukia kwa tumbo)

wanawake/wasichana why?/ maana kwa sasa sisi tunashika hatamu, kweli haya majanga jamani kataeni msiwe warahisi kukubali vitu kwa sababu ya ugumu wa maisha, hakuna permanent situation so hicho kipindi kigumu kitapita tu, kila siku nawaletea mifano na uthibitisho kwamba hivyo vitu ni noma lakini hamkomi

CREDT: udaku specially

Tags: ,

0 Responses to “Huyu ndio mtanzania aliyefariki baada ya madawa ya kulevya kumpasukia tumboni akielekea Italy ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI