Thursday, June 27, 2013

JUMA KASEJA ATUPIWA VILAGO RASMI SIMBA, ATOWEKA MAZOEZINI, ALAANI KUFANYIWA FUJO MORO.



KLABU ya Simba ya Jijini Dar es Salaam,jana ilitangaza rasmi kumtema Nahodha wake ambaye pia ni Nahodha wa timu ya Taifa na Simba, Juma 
Kaseja, ambaye alikuwa akiwaumiza vichwa viongozi wa Klabu hiyo.


Awali Kaseja, alikuwa akikaririwa na Vyombo vya habari kuwa hajajua 
hatima yake na Klabu ya Simba na kuhusishwa ukimya wake na kuhamia Timu ya Azam, ambao awali walionyesha nia ya kumhitaji.


Lakini alipohojiwa Kaseja, alisema kuwa bado alikuwa akihitaji 
kupumzika ili kujua kuwa atasain tena simba ama la, na kwa upande 
wa Azam, walipohojiwa kuhusiana na hilo, nao waliruka Kimanga 
kuonyesha nia ya kumhitaji Kipa huyo namba moja wa Simba.


Tags: ,

0 Responses to “JUMA KASEJA ATUPIWA VILAGO RASMI SIMBA, ATOWEKA MAZOEZINI, ALAANI KUFANYIWA FUJO MORO. ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI