Monday, June 24, 2013

SUGU APIGILIA MSUMARI KAULI YAKE KWA KINGEREZA KUWA WAZIRI NI MPUMBAVU







 
Jana watu walizusha eti mweshimiwa KASANDA, Ahh wapi leo Kasisitiza, zaidi msome hapo!

...naskia kuwa watu wanasema kwamba eti nimefuta kauli yangu kuhusu waziri mkuu na amri yake kwa polisi kupiga wananchi?!...sina sababu ya kufuta wala kuomba radhi, na nasimamia kauli yangu to the end...kwanza 'upumbavu' sio tusi,upumbavu kwa kiingereza ni stupidity-which is lack of knowledge and understanding...so hata uwe na cheo gani kama ukishindwa kuwa na 'understanding' juu ya madhara ya kauli zako kwa taifa u are stupid...ambayo kwa kiswahili ndio mpumbavu"



 
TOA MAONI YAKO HAPA

Tags: ,

0 Responses to “SUGU APIGILIA MSUMARI KAULI YAKE KWA KINGEREZA KUWA WAZIRI NI MPUMBAVU”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI