Friday, June 21, 2013

Umeisoma : Wema Sepetu Apoteza Mvuto....Mikorogo Yamuathiri....Michirizi Yaanza Kupanda Usoni




Matumizi mabaya ya vipodozi yameanza kumuathiri wema Sepetu ambaye ni miss Tanzania 2006..


Wema ambaye umri wake bado haujamtupa , hivi sasa anakabiriwa na tatizo la ngozi kutokana na michirizi kusambaa mwili mzima hasa mapajani....




Kamera zetu si mara ya kwanza kumshuhudia Mrembo huyu akizingirwa na uzee kwani miezi kadhaa nyuma tuliwahi andika habari inayofanana na hii lakini ikielezea zaidi michirizi ya mapajani....


Tofauti na hivyo, hivi sasa michirizi hiyo imekimbilia kifuani na mabegani hali inayoashiria kwamba siku si nyingi itahamia usoni...


"Ukweli Wema Sepetu sasa amebaki sura tu,mwili umemtupa kabisa .Nadhani hii yote inatokana na matumizi mabaya ya mikorogo"...alisema shuhuda mmoja akimtazama Wema sepetu aliyekuwa jaji katika shindano moja la umiss jijini Dar





Baada ya kumsikia shuhuda huyo akimtoa kasoro mrembo huyo, mwandishi wetu alitinga nyumbani kwa Wema Sepetu kufanya naye mahojiano juu ya jambo hili


Alipofika nyumbani hapo, mwandishi wetu aligonga geti na kufunguliwa na dada mmoja ambaye alidai kuwa maadam Wema alikuwa amelala na kwamba hawezi kuamshwa mpaka aamke mwenyewe..

HABARI NA 

Tags: ,

0 Responses to “Umeisoma : Wema Sepetu Apoteza Mvuto....Mikorogo Yamuathiri....Michirizi Yaanza Kupanda Usoni ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI