Home
» celebrities
» BAADA YA JOYCE KIRIA KUSHAURIWA AMWAMBIE MUMEWE AACHANE NA SIASA NA HII NDIO KAULI NA MSIMAMO WAKE
Sunday, July 7, 2013
BAADA YA JOYCE KIRIA KUSHAURIWA AMWAMBIE MUMEWE AACHANE NA SIASA NA HII NDIO KAULI NA MSIMAMO WAKE
Sunday, July 7, 2013 by Unknown
Hapa kuna swala nahitaji kuliweka sawa, naamini tutaelewana fans zangu wote
Nimeolewa na mwanasiasa, mume wangu Henry Kilewo ni katibu wa CHADEMA mkoa wa Kinondoni, Ila mimi si mwanasiasa(nahudumia watu wote wenye vyama na wasio na vyama)
Our Wedding Day, Nikila kiapo, "KWA TABU NA RAHA"
Muda nakubali kuolewa naye nilifahamu fika kuwa yeye ni mwanasiasa, Ila nitamsupport mume wangu kwa kazi yake aliyoichagua, siwezi kumwambia AACHE SIASA, Hilo kwa kweli HALIWEZEKANI, Hata yeye hajawahi hata siku moja kuniingilia katika kazi yangu ya kutetea haki za wanawake na maendeleo ya wanawake kwa ujumla(WANAWAKELIVE) na kuniambia niiache.
Ila nina swali la kuuliza hapa "KILA MTU ANAPOPATA TATIZO KATIKA KAZI YAKE ANATAKIWA KUIACHA???" Mfano Daktari akipata tatizo katika kazi yake aache? Ama Mwalimu ama mtu yoyote yule kwa kazi anayoifanya akipata changamoto anatakiwa kuacha????
Fans Wangu wote naamini mtakuwa mmenielewa na mtaendelea kuwa nami all the way, Msimamo wangu ni huu, Nitasimama upande wake na kuendelea kumsupport mume wangu Henry, SIASA ni kitu anachokipenda SIWEZI KUMWAMBIA AACHE
Tags:
celebrities

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BAADA YA JOYCE KIRIA KUSHAURIWA AMWAMBIE MUMEWE AACHANE NA SIASA NA HII NDIO KAULI NA MSIMAMO WAKE ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.