Friday, July 12, 2013

BALAA: MESSAGE ZA KIKWETE KUMUUZIA OBAMA NCHI ZAWAFIKISHA WATU WAWILI POLISI



Jeshi la polisi Geita linawashikilia watu wawili kwa kosa la kusambaza ujumbe kwa njia ya simu usemao, UMEPOKEA SHILINGI 50,000.KUTOKA KWA RAIS KIKWETE KAMA SEHEMU YA MGAO WAKO BAADA YA KIKWETE KUMUUZIA OBAMA NCHI!!

Kamanda wa polisi mkoani hapo alisema kwamba watu hao walikamatwa baada ya kukutwa msg hizo ktk simu zao za mikononi huku wakiwa wanasambaza kwa watu wengine.
Aliendelea kudai kua jeshi la polisi linatoa onyo kwa wale wote wanaowachafua viongozi wa kitaifa kwa njia za ujumbe kwa simu na kwamba watawachukulia hatua kali.

Source; Radio Free Afrika Matukio!

Tags: ,

0 Responses to “BALAA: MESSAGE ZA KIKWETE KUMUUZIA OBAMA NCHI ZAWAFIKISHA WATU WAWILI POLISI ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI