Thursday, July 4, 2013

BREAKING NEWSS: BASI LA ABOOD LIKITOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAO HILL MAFINGA

BASI LA ABOOD LIKIWA LIMEPINDUKA

ABIRIA WAKIWA WAMETOKA NJE BAADA YA AJALI KUTOKEA
HIVI NDIVYO BASI LA ABOOD LILIVYO PINDUKA 


******
Basi la Abiria la Abood lililokuwa linatokea Dar es salaam kuelekea Mbeya Limepata Ajali Jioni Hii eneo la Msitu wa Sao Hill Mafinga Mkoani Iringa, Chanzo cha ajali hiyo hakija Fahamika mara moja, Na abiria wote waliokuwemo katika Basi hilo Wamenusurika. 


Tags:

0 Responses to “BREAKING NEWSS: BASI LA ABOOD LIKITOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA MBEYA LAPATA AJALI ENEO LA SAO HILL MAFINGA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI