Home
» burudani
» GERALD HANDO ATANGAZA KUTOPIGA WIMBO WA JIKUBALI WA BEN POL KATIKA KIPINDI CHAKE CHA POWER BREAKFAST
Thursday, July 4, 2013
GERALD HANDO ATANGAZA KUTOPIGA WIMBO WA JIKUBALI WA BEN POL KATIKA KIPINDI CHAKE CHA POWER BREAKFAST
Thursday, July 4, 2013 by Unknown
Mdakuzi wako leo wakati nasikiliza kipindi cha Power Breakfast, Gerald hando amesema amechukizwa na Mwanamuziki Ben Pol kucopy na Kupaste wimbo wake mpya unaotamba kwa sasa wa JIKUBALI kutoka kwa Wimbo wa Script Feat Wiliam Am unaoitwa Hall of Fame....Gerald Hando aliyasema kuwa hata piga huo wimbo katika kipindi chake cha Power Breakfast...Hii ilikuja baada ya Msikilizaji kuandika Massage akiponda Ben Pol kukopy na kupaste ambapo Gerald nae alikandamizia kwa kumsaport...
Je wewe unasemaje kuhusu suala hilo la Ben Pol Kukopy wimbo wa nje na kuubadilisha kuwa wa Kiswahili?
Tags:
burudani

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “GERALD HANDO ATANGAZA KUTOPIGA WIMBO WA JIKUBALI WA BEN POL KATIKA KIPINDI CHAKE CHA POWER BREAKFAST ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.