Tuesday, July 9, 2013

HUYO NDO "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA "AGNESS MASOGANGE



Picha ya Mrembo Mellis Edward aliyedakwa na madawa ya kulevya Afrika kusini akiwa na Agness Masogange

Mellis Edward
Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward” ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook.

Kamanda Gofrey Nzowa - Kitengo cha Madawa ya Kulevya



Agness Masogange akiyahesabu "MAPESA" yake.Picha hii aliiweka siku chache zilizopita

Tags: ,

0 Responses to “HUYO NDO "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA "AGNESS MASOGANGE ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI