Tuesday, July 2, 2013

ICE PRINCE AWABWAGA 2FACE TUZO BET



MUIMBAJI wa Nigeria, Ice Prince amewabwaga wasanii wenzake wa Afrika akiwemo 2Face Idibia (Nigeria), Toya Delazy (Afrika Kusini), R2Bees (Ghana), na Radio Weasel (Uganda), baada ya kuibuka kidedea katika kipengele cha 'Best International Act Africa' katika tuzo za BET zilizotolewa mwishoni mwa wiki nchini Marekani. Ice alionekana kuwabwaga wasanii hao kutoka Afrika kwa kuinyakua tuzo hiyo, ambayo aliamini imetokana na juhudi zake. Tuzo hizo ambazo zilihudhuriwa na nyota mbalimbali akiwemo Radio na Weasel, ambao waliweka wazi kuwa hata kama wakikosa tuzo hizo kitendo cha wao kutajw... more »

Tags:

0 Responses to “ICE PRINCE AWABWAGA 2FACE TUZO BET ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI