Thursday, July 4, 2013

RACHEL AELEZA ALIVYO NUSURIKA KIFO

MTANGAZAJI wa Runinga ya Star TV, Rachel Ndauka amefunguka kuwa amelichungulia kaburi baada ya kuugua na kulazwa kwa siku tatu wiki iliyopita.
Akichonga na paparazi wetu, Rachel alisema ameugua malaria kali ambayo ilimfanya alazwe hospitali ya Aga Khan na kutundikiwa dripu nyingi mpaka alipopata nafuu na kuruhusiwa.

“Malaria ni ugonjwa mbaya kwani hali yangu ilikuwa mbaya iliyonifanya nichungulie kifo, namshukuru Mungu nimepata nafuu na ninawashauri wenzangu wawe na tabia za kucheki afya zao kila wakati,” alisema Rachel.

Tags:

0 Responses to “RACHEL AELEZA ALIVYO NUSURIKA KIFO”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI