Home
» udaku
» SKENDO: BINTI APATA YA AIBU KUBWA BAADA KUNASWA AKIIBA SIMU NA KUIFICHA KWENYE NYETI ZAKE......!!
Friday, July 5, 2013
SKENDO: BINTI APATA YA AIBU KUBWA BAADA KUNASWA AKIIBA SIMU NA KUIFICHA KWENYE NYETI ZAKE......!!
Friday, July 5, 2013 by Unknown
Tukio hili limetokea huko Nigeria ambapo binti anayesemekana ni wa mwaka wa kwanza alikwenda kutembea katika hostel za wenzake na alipopata mwanya akaiba simu aina ya Black Berry.
Hata hivyo baada ya mwenye simu kushtuka binti huyo aligoma kuichukua simu hiyo na
ndipo watu
walipoamua kuipiga na kuanza kuita ikiwa sehemu za siri. Baada ya tukio hilo wavulana kutoka vyumba vya pembeni walikuja na kumsachi huku wakimvua nguo, hakuwa na la ziada zaidi ya kuwa mpole wakati watu wakimpiga picha hizo za aibu.
SOURCE: MASAI BLOG

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


0 Responses to “SKENDO: BINTI APATA YA AIBU KUBWA BAADA KUNASWA AKIIBA SIMU NA KUIFICHA KWENYE NYETI ZAKE......!! ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.