Sunday, September 22, 2013

DIVA "MIE NA PREZZO IMEBAKI STORI ..TATTOO YA PREZZO MKONONI MWANGU NAIFUTA..NINA MTU MWINGINE"



"Hey Guys Pliz Kwa Heshima Zote na taadhima naomba msiwe mna comment about Huddah Or Prezzo in My Page. That Chapter is closed muda mrefu sana and matter of fact Dont need Drama. My Life seems to be Naturally . I never have plans for where it’s going to take me. Huwa nafuta na kujisikia vibaya nikiona mbaendelea comment about Prezzo. well The truth ni Kuwa My heart Belonged to another man and The Tattoo of his name katika Mkono wangu itakuwa removed yes …. working on that. I Respect him and he is such a good Person but pliz enough with his name on My Page….hope mmenielewa. love you all" Says Loveness Diva

Tags:

0 Responses to “DIVA "MIE NA PREZZO IMEBAKI STORI ..TATTOO YA PREZZO MKONONI MWANGU NAIFUTA..NINA MTU MWINGINE"”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI