Thursday, September 26, 2013

JAMAA AMFUMANIA MKEWE GESTI IRINGA AMUACHA MGONI WAKE NA KUMPA KIPIGO KIKALI MKEWE









Hapa akiwa amelala hajitambui baada ya kupata kipigo











Hapa wananchi wakiwa wanashudia jamaa akimpa kichapo mkewe baada ya kumfumania





Picha hii jamaa amembeba mke wake baada ya kumfumania na kumpa kipigo kikali wakielekea nyumbani




Tukio hili limetokea leo asubuhi mida ya saa 8.00,katika mji wa Iringa maeneo ya mwangata paparazzi wetu alifanikiwa kulinasa hili tukio.Jamaa mmoja jina halikuweza kupatikana amemfumania mkewe gesti baada ya kumfumania alichokifanya ni kumruhusu yule mwanaume aliyemfuma na mke wake nakusema jamaa hana kosa mwenye kosa ni mke wake.Jamaa akazidi kufunguka nakusema mke wake alitakiwa kukataa alipotongozwa moja kwa moja mke wangu ndiye mwenye makosa huyu mgoni hana kosa kabisa.Kilichofuata baada ya hapo alimpa kichapo kikali kama unavyoona kwenye picha. Mwisho wa siku akambeba na kurudi naye nyumbani maeneo ya mwembetogwa ili kumfungashia mizigo yake na kumrudisha kwa wazazi wake.

Tags:

0 Responses to “JAMAA AMFUMANIA MKEWE GESTI IRINGA AMUACHA MGONI WAKE NA KUMPA KIPIGO KIKALI MKEWE ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI