Thursday, September 12, 2013

KWA SASA SINA MPENZI KABISA, MWENYE MAHABA NA MIMI ANITAFUTE KWA MUDA WAKE



Leo katika interview na baby Madaha ambaye hivi karibuni amesaini mkataba mnono na kampuni ya Candy n’ Candy Records ya jijini Nairobi nchini Kenya , Bongomovie.com wameweza kupata mambo matano ambayo mashabiki wa mwanadada huyu watakuwa hawajui kumhusu yeye.

Katika interview hiyo, baby Madaha ametaja mambo matano ambayo anasema mashabiki wake wanahitaji kuyafahamu kumhusu yeye. Mambo hayo ni haya yafuatayo:

1. I’m single ( Sina mpenzi) 
Mwanadada huyu amesema kuwa kwa sasa yupo single na yuko bize na PESA. Ila kama kuna mwanaume mwenye nia ya dhati anaweza kumtafuta.

2. Anasoma degree ya sanaa kwenye sayansi ya siasa na historia (B.A- Political science and History) - chuo kikuu huria jijini Dar es Salaam..

3. Mama yake mzazi ndio rafiki yake mkubwa maishani

4. Ni mpenzi wa soka na ni mshabiki wa Chelsea na anavutiwa na Kevin-Prince Boateng wa club Schalke 04 ambaye ndiye alisababisha akanyoa nywele staili aliyonayo baby madaha kwa sasa.

Tags:

0 Responses to “KWA SASA SINA MPENZI KABISA, MWENYE MAHABA NA MIMI ANITAFUTE KWA MUDA WAKE”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI