Friday, September 13, 2013
LAANA..!! ASAMBAZA PICHA ZA UTUPU ZA MUMEWE ILI KUMKOMESHA
Friday, September 13, 2013 by Unknown

Habari za kuaminika kutoka kwa chanzo chetu makini zinasema kwamba mke wa kigogo huyo aitwaye Zainab ndiye anayesambaza video hiyo kwenye mitandao mbambali na mitaani.
Inaelezwa kwamba, Zainab alianza kupatwa na wasiwasi na tabia ya mumewe muda mrefu, hivyo akaanza kumfuatilia kwa karibu, ambapo alifanikiwa kunasa meseji za mapenzi kati ya mumewe na Mwamvua.
Zainab alivumilia bila kumwambia mumewe, lakini aliendelea kumfuatilia ili apate uhakika.
“Aliamua kuchukua namba za simu za yule mwanamke kisha akampigia na kumuonya amuachie mumewe, lakini akamjibu mbovu,” alitutonya mnyetishaji wetu
Akaongeza: “Lakini siku moja aliona picha ya huyo mwanamke akiwa kitandani kwenye simu ya mumewe. Alipoendelea kupekua zaidi, akaona video ikiwaonesha wapo kwenye mahaba. Akaihamishia kwenye simu yake haraka kwa njia ya Bluetooth.”
“Zainab alishachoshwa na mambo ya mume wake. Analalamika kuwa tangu amepandishwa cheo, hatulii nyumbani. Amekuwa malaya kupindukia. Uamuzi wake ulikuwa ni kuondoka kwa mumewe, lakini akaona ni bora kwanza amkomeshe,” alisema paparazi wetu.
Alisema, kwa kuwatumia ‘watoto wa mjini’, Zainab alifanikiwa kuisambaza video hiyo kwenye mitandao mbalimbali kwa lengo la kumuaibisha mume wake na mwanamke aliyekuwa naye faragha ambaye naye anadaiwa kuwa mke wa mtu.
“Aliona bora wakose wote, ndiyo maana akafanya hivyo,”alisema.
Tags:
mapenzi ,
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “LAANA..!! ASAMBAZA PICHA ZA UTUPU ZA MUMEWE ILI KUMKOMESHA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.