Wednesday, September 25, 2013
MAJANGA!!! :AIBA MAITI YA BABA YAKE KWA IMANI AKIMWOMBEA ATAFUFUKA
Wednesday, September 25, 2013 by Unknown
Mtu mmoja aliyeiba maiti ya baba yake kutoka makaburi ya Detroit amewekwa chini ya uangalizi jana na kuamriwa kuhudhuria tiba ya akili ama atafungwa jela. Vincent Bright, miaka 49, alinusurika hukumu ya kifungo jela. Alipatikana na hatia Agosti ya kufukua mwili huo.Bright lazima aendelee kupatiwa tiba ya afya ya akili na kumwonesha ofisa wake uangalizi kwamba anatumia dawa, Jaji wa Mahakama ya Wayne County James Chylinski alisema.

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
- KUNUKA KIKWAPA NA WEUSI KATIKATI YA MAPAJA YANGU VINANINYIMA RAHA
- FICHUA MAOVU TUNAENDELEZA::FACEBOOK YAINGILIWA NA MAKAHABA:CHEKI PICHA HAPA, JE NI SAWA KWA MADADA ZETU WANACHOKIFANYA FACEBOOK
- KAULI ZA MJINI WANASEMA MICHEPUKO SIO DEAL, KWANINI UIBE MKE WA MTU?? TULIA NA WAKO, CHECK HUYU ALIVO UMBUKA NA KUAIBIKA BAADA YA FUMANIZ....
- KUTANA NA MREMBO MWANACHUO MWENYE KALIO LA AJA AMBAYE, WATU WANAHISI ANALITUMIA KUFAHURU MITIHANI
- DUNIA INA MAMBO...ETI AUNT EZEKIEL ACHIZIKA KUPITA MAELEZO..KISA..BUSU LA MBWA...!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MAJANGA!!! :AIBA MAITI YA BABA YAKE KWA IMANI AKIMWOMBEA ATAFUFUKA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.