Friday, September 13, 2013

MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO NCHINI BRAZIL



Msanii wa Bongo muvi ambaye pia aliwah kuwa mke wa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Mohamed Mpakanjia bibie Aisha Bui anadaiwa kukamatwa na madawa ya kulevya 
nchini Brazil.. Mtandao huu bado unafatilia kwa ukaribu ishu hii na utawaletea habari kamili muda mchache ujao.

Tags: ,

0 Responses to “MSANII MWINGINE WA BONGO MOVIE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO NCHINI BRAZIL”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI