Thursday, October 3, 2013

JOSE CHAMELEONE ATOA WIMBO MWINGINE KWA KISWAHILI USIKILIZE HAPA



Jose Chameleone ni msanii ambaye anayetumia mara nyingi lugha ya kiganda na kiswahili kwenye kuimba nyimbo zake. Kuimba kwa lugha ya kiswahili ni moja sababu zinazompa fan base kubwa nchini Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla. Huu hapa ni wimbo mpya kutoka kwa Jose ambao pia ametumia lugha ya Kiswali

Tags:

0 Responses to “JOSE CHAMELEONE ATOA WIMBO MWINGINE KWA KISWAHILI USIKILIZE HAPA”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI