Wednesday, October 2, 2013
SINTAH ALIPONDA GAZETI LA FILAMU LILILOANDIKA WEMA KUNYONGWA CHINA
Wednesday, October 2, 2013 by Unknown

Hili ni gazeti ama mfano wa
gazeti
"Hizi biashara za siku hizi mtu akipata laki mbili yake tu anaanzisha gazeti mwisho kutakuwa na hata gazeti linaitwa Sintah khaa, ndio maana watu wanawadharau waandishi hii ni kutokana na taaluma ndogo waliokuwa nayo baadhi yao, sasa kwamfano hio story hapo juu inatufundisha nini ati?
Sasa akirudi salama mtasema kahonga?? waandishi muwe mna maadili ya kazi zenu sio kuropoka ropoka tu, watu wana wazazi ndugu jamaa na marafiki wanao waheshimu hata kama mtu ndio kula yako basi andika ya ukweli, kichwa cha habari kinaweza mfanya mtu azimie, kunyongwa si kazi ndogo ujue??? serikali inatakiwa pia iwafungie magazeti kama haya yanayojiandikia tu pasipo na msingi na maadili ya uandishi" Sintah
Tags:
celebrities ,
udaku

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “SINTAH ALIPONDA GAZETI LA FILAMU LILILOANDIKA WEMA KUNYONGWA CHINA”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.