Thursday, October 3, 2013

SUBA MKOLE WAMPA SHAVU NEY WA MITEGO KWENYE TRACK YAO MPYA-SONDE



Wanamuziki ndugu wa kundi la Suba Mkole wameshirikisha Nay wa Mitego katika Ngoma yao mpya inayo kwenda kwa jina la Sonde...Ngoma hiyo hiyo video yake inatarajiwa kuzinduliwa kesho pale EATV kwenye kipindi cha Friday Night ....Stay tuned ..

Download na Sikiliza Wimbo huo hapa then Toa masksi yako :

Tags:

0 Responses to “SUBA MKOLE WAMPA SHAVU NEY WA MITEGO KWENYE TRACK YAO MPYA-SONDE”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI