Wednesday, March 12, 2014

SAMWELI SITA AULA BUNGE LA KATIBA...WENYE WIVU WALIE TU




Hatimaye Samweli Ameukwaa Uspika wa Bunge la katiba leo hii jioni kwa kwa kupata kura nyingi ....Mie Binafsi nimefurahi nahuhakika na Mzee huyo ...Kwani aliongoza Bunge Vizuri sana Enzi zake......Unasemaje kuhusu Sitta ? Toa maoni yako hapo chini

Tags:

0 Responses to “SAMWELI SITA AULA BUNGE LA KATIBA...WENYE WIVU WALIE TU”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI