Thursday, March 27, 2014
VICTORIA KIMANI" SIDHANI KAMA KUNA KITU KAMA FREEMASON AU ILLUMINATI"
Thursday, March 27, 2014 by Unknown
“Ngoja niwaambie kitu, sidhani kama kuna kitu kama Illuminati au vyovyote vile ilivyo. Sidhani watakuja Kenya na kuwachukua wasanii wetu kwa sababu hatuna hata twitter verification. Hatuna hata video za nyimbo zilizohit zaidi ya milioni kwenye YouTube. Kwa hiyo sidhani kama niko kule lakini ninawa-apreciate kwa kunifikiria kwenye fikra zenu za timu ya illuminate. Mimi sio sehemu ya shirika ama jamii yoyote ya ‘secret society’.” Victoria Kimani ameuambia mtandao wa Ghafla wa Kenya.
Ameongeza kuwa yeye ni mwanamuziki ambaye yuko chini ya Chocolate City ambao wana imani ya Kikristo na endapo akijaribu kufanya kitu kama hicho wangemzingua.
Hata hivyo kwa pointi ya twit Tags: celebrities

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “VICTORIA KIMANI" SIDHANI KAMA KUNA KITU KAMA FREEMASON AU ILLUMINATI"”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.