Home
» kitaifa
» ABIRIA WAPATAO 50 WANUSURIKA KUFA BAADA YA BASI LA SUMRY WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA SUMBAWANGA KUELEKEA MBEYA MBEYA KUPATA AJALI
Saturday, March 2, 2013
ABIRIA WAPATAO 50 WANUSURIKA KUFA BAADA YA BASI LA SUMRY WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA SUMBAWANGA KUELEKEA MBEYA MBEYA KUPATA AJALI
Saturday, March 2, 2013 by Unknown
ZAIDI YA ABIRIA 50 WA BSI LA SUMRY LITOKALO SUMBAWANGA KUJA MBEYA LIMEPATA AJALI MAENEO YA SONGWE MPAKANI MWA WILAYA YA MBOZI CHANZO CHA AJALI HIYO NI KUWA ROLI LA MIZIGO LA KAMPUNI YA KANJILAJI LILIKUWA LINAIPITA GARI NYINGINE HIVYO KUHAMIA UPANDE WA BASI LA SUMRY NA NDIPO DEREVA WA SUMRY AKAONA KUA WATAGONGANA USO KWA USO AKAAMUA KULIINGIZA SHAMBANI ILI KUJIOKOA KATIKA AJALI HIYO

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 Responses to “ ABIRIA WAPATAO 50 WANUSURIKA KUFA BAADA YA BASI LA SUMRY WALILOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA SUMBAWANGA KUELEKEA MBEYA MBEYA KUPATA AJALI”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.