Tuesday, March 19, 2013

KUTOKA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI:KAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIPANGO YA MAENDELEO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM.




Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Anna Abdallah akifurahi jambo wakati alipokuwa anakagua na kamati yake ujenzi wa makao makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji linalojengwa Tazara Mchicha, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (aliyevaa tai) akiwa na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama wakati walipokuwa wanakagua ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima (kushoto-aliyevaa tai) akiwa na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama wakati walipokuwa wanakagua ujenzi wa Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama na maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati kamati hiyo ilipofanya ziara ya ukaguzi wa mipango ya maendeleo ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama, Anna Abdallah akizungumza na maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Kamati hiyo ilifanya ziara ya ukaguzi wa mipango ya maendeleo ya jeshi hilo, jijini Dar es Salaam jana. Aliyevaa tai ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima.




PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Tags:

0 Responses to “KUTOKA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI:KAMATI YA BUNGE YA ULINZI NA USALAMA YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIPANGO YA MAENDELEO YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI, JIJINI DAR ES SALAAM. ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI