Tuesday, March 19, 2013

Rais Jakaya Kikwete Atimiza Ahadi, Amkabidhi Usafiri aina ya Bajaji Bwana Bashir Msanda Ambaye ni Mlemavu




Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi msaada wa Usafiri aina ya Bajaji Bwana Bashir Msanda ambaye ni mlemavu wakati wa mwanzo wa ziara yake ya kukagua na kufungua miradi ya maendeleo jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Makabidhiano hayo ambayo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Kikwete kumsaidia mlemavu huyo ,yalifanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.Picha na Freddy Maro-IKULU

Tags:

0 Responses to “Rais Jakaya Kikwete Atimiza Ahadi, Amkabidhi Usafiri aina ya Bajaji Bwana Bashir Msanda Ambaye ni Mlemavu ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI