Home
» kitaifa
» WAFANYAKAZI WA VODACOM AFRIKA YA KUSINI NA TANZANIA WATOA MISAADA KWENYE KITUO CHA KUACHANA NA MADAWA YA KULEVYA MJINI ZANZIBAR.
Wednesday, March 20, 2013
WAFANYAKAZI WA VODACOM AFRIKA YA KUSINI NA TANZANIA WATOA MISAADA KWENYE KITUO CHA KUACHANA NA MADAWA YA KULEVYA MJINI ZANZIBAR.
Wednesday, March 20, 2013 by Unknown
Mfanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini Musa Nkuna na Nuru Ntisi wa kituo cha kusaidia wanawake kuachana na matumizi ya dawa za cha Mjini Zanzibar akiwa na mwenzake Amina Salum (wa tatu kushoto) wakifurahia makabidhiano ya vyakula na vitu vingine mbalimbali vilivyotolewa na Vodacom Foundation. Wengine pichani ni wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini na wenzao wa Tanzania walipojumuika kwa pamoja kukitembelea kituo hicho kama sehemu ya kuwatia moyo kutimiza azma ya kuachana na matumizi ya dawa za kulevya.
Wafanyakazi wa Vodacom Tanzania pamoja na wenzao wa Afrika Kusini wakiwa wamejumuika na wateja wa kituo cha kuachana na matumizi ya dawa za kulevya (Sobber House) cha wanawake cha Mjini Zanzibar wakati wafanyakazi hao walipokitembelea kituo hicho na kutoa msaada wa vyakaula na vitu mbalimbali ili kuwapa moyo wanawake hao walio katika harakati za kuachana na matumizi ya dawa za kulevya kufikia azima yao.
Mkuu wa Kitengo cha Vodacom Foundation Yessaya Mwakifulefule (aliyechuchumaa kushoto) akitoa maelezo ya zawadi ambazo kitengo chake kimeipatia kituo cha kutibu wanawake kuchana na matumizi ya dawa za kulevya cha Mjini Zanzibar wakati kundi la wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini walipoungana na wenzao wa Tanzania kutembelea kituo hicho kama sehemu ya kutambua na kuthamini mchango wa kituo hicho kusaidia wanawake Mjini Zanzibar.
Kundli la wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini waliotembelea kituo cha kusaidia wanawake kuachana na amtumizi ya dawa za kulevya wakifuatilia maelezo ya amendeleo na historia ya kituo hicho. Kundi hilo lilijumuika na wenzao wa Vodacom Tanzania kutoa msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kama sehemu ya kutambua juhudi z akituo hicho.
Kundli la wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini waliotembelea kituo cha kusaidia wanawake kuachana na amtumizi ya dawa za kulevya wakifuatilia maelezo ya amendeleo na historia ya kituo hicho. Kundi hilo lilijumuika na wenzao wa Vodacom Tanzania kutoa msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali kama sehemu ya kutambua juhudi z akituo hicho.
Mlezi wa Kituo cha Kusaidia wanawake kuchana na Matumizi ya Dawa za Kulevya cha Mjini Zanzibar Mama Fatma Sukwa(katikati), Meneja wa Vodacom Foundation Grace Lyon(kulia) na Mteja wa kituo hicho Monica Pardo amabe ni Rais wa Uhispania wakiwa katika picha ya kumbukumbu wakati kundi la wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini walipojumuika na wenzao wa Tanzania kukitembela kituo hicho na kukipatia msaada wa vyakula na vitu vingine mbalimbali.
Wafanyakazi wa Vodacom Afrika Kusini na wenzao kutoka Vodacom Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi pamoja na wateja wanaopata tiba katika kituo cha kutibu wanawake lkuachana na matumiiz ya dawa za kuelvya. Wafanyakazi hao wlaikitemebela kituo hicho kama sehemu ya kuthamini juhudi za kituo hicho kusaidia wanawake kuachana na matumizi ya dawa hizo za kulevya.
Tags:
kitaifa

This post was written by: Author Name
Author description goes here. Author description goes here. Follow him on Twitter
Get Updates
Subscribe to our e-mail newsletter to receive updates.
Related Articles
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “WAFANYAKAZI WA VODACOM AFRIKA YA KUSINI NA TANZANIA WATOA MISAADA KWENYE KITUO CHA KUACHANA NA MADAWA YA KULEVYA MJINI ZANZIBAR. ”
Post a Comment
Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.