Wednesday, March 20, 2013

Lile Gari Linalodaiwa Kumgonga Askari Polisi Wa Kikosi Cha Barabarani wakati akiongoza msafara wa Rais Jakaya Kikwete Juzi Eneo la Bamaga Mwenge,Hili Hapa


Askari wa kikosi cha usalama barabarani akiwasiliana kwa simu baada ya gari linalodaiwa kumgonga polisi wa kikosi hicho wakati akiongoza msafara wa Rais Jakaya Kikwete juzi eneo la Bamaga Mwenge, kukwama eneo la Tabata relini.Gari hilo lilikamatwa jana Dar es Salaam.Picha na Fidelis Felix 

Tags:

0 Responses to “Lile Gari Linalodaiwa Kumgonga Askari Polisi Wa Kikosi Cha Barabarani wakati akiongoza msafara wa Rais Jakaya Kikwete Juzi Eneo la Bamaga Mwenge,Hili Hapa ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI