Thursday, March 21, 2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu Washiriki Sherehe Za Kumsimikwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani,Papa Francis 1 na Kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Chakula (FAO), Jose Graziano da Silva




Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa, FAO Bw. Jose Graziano da Silva baada ya mazungumzo yao wakati alipotembelea makao makuu ya FAO mjini Roma, Machi 20, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Chakula (FAO), Jose Graziano da Silva wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo Mjini Roma, Machi 20, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa, FAO Bw. Jose Graziano da Silva kabla ya kusaini kitabu cha wageni baadae walifanya mazungumzo yao katika makao makuu ya FAO mjini Roma, Machi 20, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakifanya mahojiano na mtangazaji wa Radio Vatican, Padri Richard Mjigwa (katikati) kweye moja kati ya studio za Raido hiyo Mjini Roma walikohudhuria sherehe za kusimikwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Diuniani, Papa Francis 1 Machi 20, 2013
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiongozwa na Padri Alquine Nyirenda wa Makao Makuu ya Shirika la Watawa wa Benedikti, Roma kutoka kwenye Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro la Roma walikohudhuria sherehe za kumsimikwa kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis 1 kwenye viwanja vya Kanisa hiloMachi 19,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakipata maelezo kuhusu historia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro la Roma kutoka kwa Padri Alquine Nyirenda wa Makao Makuu ya Shirika la Watawa wa wa Benedikti, Roma walikohudhuria sherehe za kusimikwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Machi 202013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Tags: ,

0 Responses to “Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu Washiriki Sherehe Za Kumsimikwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani,Papa Francis 1 na Kukutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Chakula (FAO), Jose Graziano da Silva ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI