Thursday, May 2, 2013

50 CENT AMFANANISHA RICK ROSSY NA MWANAMKE......USHAHIDI WA PICHA


Wote tunafahamu kuwa hakuna maelewano mazuri kati ya rapper 50 Cent na boss wa MayBach Rick Ross, leo kupitia Instagram kaweka picha ya Rick Ross akiwa na P.Diddy ambayo ukiitazama kwa haraka haraka  inaweza kukupa tafsiri tofauti kidogo, na kisha akaandika caption 'Good Morning Girl. love is in the air". Itazame hapa

Tags:

0 Responses to “50 CENT AMFANANISHA RICK ROSSY NA MWANAMKE......USHAHIDI WA PICHA ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI