Thursday, May 2, 2013

UDAKU WA MASTARAA WA BONGO:DIAMOND ASHAMBULIWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUKOSEA KUANDIKA LUGHA YA KIINGEREZA,


Wabongo kwa kukosoa hawajambo.. Katika pitapita yangu instagram kuna picha mkali Diamond Platnumz alipost (hiyo hapo juu), na hapo wakatokea watu kukosoa kingereza alichotumia huku wengine wakionekana kutetea. JAMANI ENGLISH si Lugha yetu jamani. angalia hapa chini watu walivyokua wakicomment

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Tags:

0 Responses to “UDAKU WA MASTARAA WA BONGO:DIAMOND ASHAMBULIWA NA MASHABIKI WAKE BAADA YA KUKOSEA KUANDIKA LUGHA YA KIINGEREZA,”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI