Sunday, May 5, 2013

Beef:Mange Kimambi Aamisha Beef Kwa Linda Dada wa Richard Mshindi wa Big Brother







Ok, this is getting out of hand now. Wakati naweka ile post juzi i didnt think it will
affect Linda's mental state at all. Maana yeye huwa anatukana sana watu , i really thought she can handle it.
i swear if at all i knews she was going to completely lose her mind and abuse her kids even more i wasnt going to put that post.
Jamani ndugu za Linda au Mr. Kimesera mliopo marekani we really need you to fly to ATL and take care of Linda during this difficult time till when
she regains her sanity. Im worried sick about the safety of the children.
Jamani its sad,nilichopost hapa is only 1% of what she has posted huko FB.
Linda pls calm down and say your prayers like you told us you always do mpaka ukapata sijida kwenye kisigino and not utosini like other muslims.
Pls Linda, relax i thought na wewe unaweza kuhandle matusi kama unavyotutukanaga sisi.
Mbona wenzio tunaendeleaga na maisha yetu ya kawaida no matter how much you curse us???
Have you finally found out how it feels to be cursed by others????
Hopefully this has taught you to mind your own business and leave other people alone.
Now pls take only a very small dose of propofol kama alopewa Michael Jackson, it will help you sleep.....
Goodnight.
Haya mama we see you were almost our first lady... Mungu katuepushaje watanzania na balaaa.
Kweli Mungu anaipenda Tanzania nimeamini leo.




Uwiiii, *instagram cant watch sign....
Dah, if anyone can reach her husband pls tell him to go home now and be with his wife now before
he finds a house full of butchered children. i swear haya ndo mambo tunaonaga kwenye tv maana kadrown watoto sijui nini
watu wanaanza kusema kweli she was acting weird few days before. Guys we can stop this, we can help huyu dada yetu asiendelee kuchanganyikiwa.
I swear, i thought she was strong kumbe i was wrong. Angalau someone pls call Linda on the phone and tell her it's ok. She only needs to stop abusing others on fb and this
will never happen to her again.
Tell her to concentrate on her 'talent' and leave the untalented kina mange alone.






OMG, THIS SHOCKED ME.....


Ndio tunatamani kuhagiwa na ma bilionea but we don't wish for our little girls tuliowabeba tumboni for 9 months kuhagiwa na mababu hata wawe matrilionea
thats the difference between sane mothers and insane mothers Linda.






KIRUUUUUU....


Mamaa wa ma priveti jeti...




Mamaa wa mapriveti jeti 1 yr after kuolewa mume akafilisika....lol..
Kutwa kinitukana Mange Kimambi anaishi fake life.....lolest...
Kwa vile at this moment kichaa chako kipo kwenye peak pale penyewe , yani kwenye kilele cha mlima Everest
pls naomba utuelezee hii bankruptcy ya mumeo maana supposedly he doesnt have a cent to his name.lol...
Hivi kwanini wanaojua kusema kama kasuku kwenye fb huwa hawasemagi ya kwao???
Mnatufanya watu tugoogle mpaka macho yanauma sasa ndo tupate information zenu.loest....




UPDATE....
Jamani hata kimba changu cha mwarabu unanikutukana , sawa. Ok nakubali ni cha mwarabu. sasa ngoja nkupe somo la KIMBA cha mwanarabu.
Unadai sababu ya recession so matajiri wana file bankruptcy to save their money??? hehehhe...
Yes they do ila guess what? wana bankrupt makampuni yao. Hii ya mumeo ni personal bankruptcy sio ya kampuni. Personal bankruptcy mamii means huna hata bank account yenye
senti moja bank?? GET IT???? MBA ya mwarabu hiyo.....
And personal bankrumptcy haunts a person for life hata ukimake dollar moja wadai wa zamani wana haki ya kufile law suit kudai madeni ya zamani sababu sasa una pesa.
Na credit ya mumeo is bad as sijui nini ndo maana huna na kuhangaika kote ufungue website kama mange, huna merchant service coz no bank will gives merchant service
to people with bad credit. LOL.
Shukuru kuna pay pal.
So unavyosema mumeo alidanganya tu kufile bankruptcy ila bado ana hela kaficha usije mletea matatizo akaja kukidwa kwa mara pili, tulia mama, stop panicking.
Matusi ya nini? Matusi yenyewe hayo hayo miaka na miaka hayana kichwa wala miguu. Lete jipya kama ulivyoletewa jipya humu.
Leo Utafungua account elfu moja fb za kukupa support mwisho wa siku watz wamechoka maneno wanataka evidence.
HATUDANGANYIKIIIIIIIIIII........
Now go cook lunch for the kids, usije waacha na njaa kisa kumtukana Mange Kimambi,
Na nna kuonya tena stop ssaying your husband lied when he filed for bankruptcy so he can escape debts maana usije kuwa unapelekea mumeo chakuja jela kwa mdomo wako mrefu.
You just admitted on fb kuwa your husband committed bankruptcy fraud.....which is crime by theway.
Uwiii Mali angejua leo haki ya nani angekutandika talaka tatu...

Source: Mange Blog

Tags:

0 Responses to “Beef:Mange Kimambi Aamisha Beef Kwa Linda Dada wa Richard Mshindi wa Big Brother ”

Post a Comment

Ila tafadhali sana angalia usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu.

HHHHHHHHHHHH

Subscribe

Kwa habari na Taarifa weka Email yako Hapa tutakutumia

© 2014 FUNUNU HABARI.. All rights reserved.
Designed by FUNUNU HABARI